Leo tarehe 9.3.2026 kamati ya Olimpiki Tanzania imetangaza rasmi muongozo na tarehe ya uchaguzi kwa wale wote watakaowania nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi wa kamati ya Olimpiki Tanzania kwa mwaka 2026. Akizungumza na waandishi wa habari, Makamu wa Rais wa kamati ya...