Kamati ya Olimpiki Tanzania wamekutana leo tarehe 24, Agosti 2022, na vyama/ mashirikisho ya michezo yanayotegemea kushiriki michezo ya olimpiki, kwenye kikao cha kiufundi juu ya matayarisho ya Michezo ya Olimpiki ya paris 2024.