Bondia wa kimataifa Yusuf Changalawe amtoa kwa knockout bondia Lingelier wa St Lucia na kutinga Nusu Fainali.

Sasa Tanzania ina uhakika wa medali walau ya shaba katika ngumi kwenye michuano ya Jumuiya ya Madola nchini uingereza.

Mungu bariki Tanzania!