Kamati ya Olimpiki Tanzania wamekutana leo katika Ofisi za TOC tarehe 15, Octoba 2022, na Vyama/Mashirikisho ya Michezo yatakayoshiriki Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 kwenye Kikao cha Pili cha Kiufundi.