Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Gulam Rashid leo tarehe 04/03/2023 ameongoza Kikao cha kwanza cha Kamati ya Utendaji TOC kilichofanyika katika Ofisi za TOC, Mwananyamala.