Kamati ya Utendaji ya Kamati ya Olimpiki Tanzania ilikuwa na kikao cha pili kwa mwaka huu tarehe 3 june 2023 chini ya uenyekiti wa Rais wake Gulam Rashid, pamoja na mada nyingine Kamati ilijadili ushiriki wa “Team Tanzania” katika michezo ya pili ya Ufukweni ya Afrika itakayofanyika huko Hammarmet Tunisia 23-30 June 2023.