Makamu wa Rais TOC, Henry Tandau alipozungumza na Waandishi wa Habari hapo jana kuelekea Mashindano ( Selection Competition) yatakayofanyika Desemba 16 na 17 2022 uwanja wa Benjamini Mkapa na ule uwanja wa ndani (Indoor). Mashindano haya yatahusisha Michezo ya Riadha, Ngumi na Judo.