Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji na viongozi wa Timu ya Taifa inayoshiriki kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola inayoanza rasmi leo jijini Birmingham, Uingereza, Julai 28, 2022, akiwa na Naibu Katibu Mkuu Mhe. Said Yakub, na Kaimu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa Neema Msitha.